JATA WANUFAIKA NA VIFAA VYA MICHEZO
25 Oct, 2022
Uongozi wa chama mchezo wa Judo Tanzania (JATA) akiwemo Rais Zaidi Hamis na Katibu wake Innocent Mallya Oktoba 24, 2022 wamepokea unifomu za mchezo huo kutoka kwa Mh. Yashuki Misawa balozi wa Japan nchini Tanzania walipomtembelea ikiwa ni msaada kutoka wana Judos kutoka Japan.