Generic placeholder
Bw. Leodegar Tenga

Mwenyekiti wa Bodi

Wasifu

Sisi ni nani

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ni Taasisi ya serikali iliyoundwa na Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa sheria Na. 12 ya mwaka 1967 na marekebisho yake ya sheria Na.6 ya mwaka 1971 na Kanuni za Baraza la Michezo la Taifa na Kanuni za usajili Na.442 za mwaka 1999 na ndio chombo pekee kilichopewa mamlaka na Bunge kusimamia Michezo nchini.  Aidha Baraza la Michezo la Taifa ni Taasisi iliyopo chini ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. 
14 Nov, 2024
LADIES FIRST 2024
Msimu wa Sita wa Mashindano ya Raidha kwa Wanawake
14 Nov, 2024 LADIES FIRST 2024
12 Nov, 2024
Wanamichezo Tanzania Kunolewa...
WANAMICHEZO TANZANIA KUNOLEWA NA WATAALAMU KUTOKA CUBA Waziri wa Ut...
12 Nov, 2024 Wanamichezo Tanzania Kunolewa na Watalaa...
08 Nov, 2024
KAMATI YA KUWEKA MIPANGO YA KU...
Kamati maalumu ya kupanga mipango ya kuandaa timu ya mpira wa miguu ya...
08 Nov, 2024 KAMATI YA KUWEKA MIPANGO YA KUANDA TIMU...
02 Apr, 2024
Viongozi wa Chama Cha Mak...
02 Apr, 2024 Viongozi wa Chama Cha Makocha wa Mchezo...
02 Apr, 2024
Usaili wa Wagombea 'TACA'
02 Apr, 2024 Usaili wa Wagombea 'TACA'
25 Mar, 2024
Uchaguzi wa Viongozi wa C...
   
25 Mar, 2024 Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha makoch...

Nifanyaje

A. KUSAJILI KWA KUPITIA MFUMO WA SARS : SaRS ni mfumo wa kidigitali unaomwezesha mdau/mteja wa michezo kuweza kujisajili online, pamoja na kupata huduma zote zinazohusu usajili kwa kutumia mfumo. Mteja/mdau ataweza kujisajili kwa kutumia mfumo. Taratibu za Kujisajili kwa Kupitia Mfumo wa SaR...
 ADA ZA USAJILI NA ADA ZA MWAKA. Mabadiliko haya ya Ada za Usajili na Ada za Mwaka ni kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (5) ya Kanuni za Usajili wa Vyama vya Michezo 2020. Na. AINA YA CHAMA ADA YA USAJILI (Itatolewa mara moja wakati wa usajli tu)...
BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA LINAPATIKANA UWANJA WA TAIFA (GHOROFA YA PILI) S.L.P 20116 Dar-es-salaam,TANZANIA baruapepe : info@nationalsportscouncil.go.tz tovuti:-  https://bmt.go.tz/