UTAFITI, UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU, MAFUNZO NA UTOAJI WA VIBALI

 

Utafiti, Utunzaji Wa Kumbukumbu, Mafunzo Na Vibali

Jedwali hili linaonesha shughuli zifuatazo: -

(i)          Kuandaa kanuni za michezo kwa ajili ya maendeleo ya michezo;

(ii)         Kuandaa na Kudhibiti Matumizi ya fedha za mfuko wa Maendeleo ya michezo

(iii)        Kuhamisha ushiriki wa Umma katika michezo na Kuimarisha ubora wa viwango vya michezo

 (iv)       Kuwatambua wanamichezo wenye vipaji naKuendeleza vipawa vyao kupitia Utekelezaji wa              Mfumo rasmi

(v)         Kudhibiti, Kuratibu utoaji wa huduma katika sayansi ya michezo na huduma ya tiba kwa ajili ya   maendeleo ya wachezaji wenye vipawa na timu.

 (vi)       Kuratibu utoaji wa Tuzo kwa wanamichezo

 (vii)      Kuratibu mafunzo na shughuli za kuwajengea uwezo wa kiutendaji wadau wa michezo

             Na utendaji kazi wa Mashirikisho na Vyama vya Michezo, na

(viii) Kuratibu Tafiti mbalimbali za michezo na uhifadhi wa kumbukumbu za masuala ya michezo.

Taarifa za Mipango Na Miradi              

Taarifa za Mashindano ya ‘’Ladies first 2019 & 2022’’

Taarifa za Mashindano ya ‘Tanzanite Women Sports Festival 2021 & 2022 ‘

Taarifa ya Mashindano ya Taifa ‘Taifa Cup 2022’

Taarifa ya Mashindano ya ‘National Sports Award 2022’’