UWASILISHWAJI WA HOTUBA YA BAJETI YA WHUSM 2025/2026

07 May, 2025
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 07, 2025 limepitisha bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya shilingi bilioni 519.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.