Habari

10 Dec, 2025
TANZANIA YAIBUKA BINGWA WA CAF SCHOOLS FOOTBALL CHAMPIONSHIPS CECAFA Q...
Timu ya Taifa ya wasichana U15 imeandika historia baada ya kushinda Mashindano ya CAF African Schools Football Championships – CECAFA Qualifiers 2025, yaliyofanyika nchini Uganda Tanzania wal...
10 Dec, 2025
TANZANIA YAIBUKA BINGWA WA CAF SCHOOLS FOOTBALL CHAMPIONSHIPS CECAFA Q...
05 Dec, 2025
TIMU ZA UOGELEAJI NA MPIRA WA MEZA ZAKABIDHIWA BENDERA KUELEKEA MASHIN...
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya mchezo wa kuogelea pamoja na ile ya mpira wa meza wamekabidhiwa bendera leo Desemba 5, 2025, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya safari yao kuelekea Angola tarehe 6 Desemb...
05 Dec, 2025
TIMU ZA UOGELEAJI NA MPIRA WA MEZA ZAKABIDHIWA BENDERA KUELEKEA MASHIN...
04 Dec, 2025
BMT KUENDELEA KUSIMAMIA MICHEZO AINA YOTE
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesema kuwa litaendelea kusimamia michezo yote nchini kama sehemu ya dhamira yake ya kuinua, kukuza na kuendeleza sekta ya michezo Tanzania. Kauli hiyo imetolewa...
04 Dec, 2025
BMT KUENDELEA KUSIMAMIA MICHEZO AINA YOTE
04 Dec, 2025
BMT WAIWEZESHA TIMU YA TAIFA YA NGUMI “FARU WEUSI”
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeiwezesha Timu ya Taifa ya Ngumi “Faru Weusi” kwa kugharamia posho, malazi na chakula, kama sehemu ya maandalizi ya kuongeza ushindani katika Mashindano...
04 Dec, 2025
BMT WAIWEZESHA TIMU YA TAIFA YA NGUMI “FARU WEUSI”
02 Dec, 2025
TAMASHA LA MICHEZO KWA WOTE, MKINGA
Tamasha la Michezo kwa Wote, linaloratibiwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), linatarajiwa kuendelea kufanyika leo Disemba 3, 20...
02 Dec, 2025
TAMASHA LA MICHEZO KWA WOTE, MKINGA
30 Nov, 2025
MANYARA YAIBUKA BINGWA WA JUMLA WA LADIES FIRST 2025
Mkoa wa Manyara umeibuka mshindi wa jumla katika Mashindano ya Riadha ya Wanawake Ladies First 2025, baada ya kung’ara na kujikusanyia jumla ya medali nane (8). Kati ya hizo, tatu ni za dhahabu,...
30 Nov, 2025
MANYARA YAIBUKA BINGWA WA JUMLA WA LADIES FIRST 2025