Habari

09 Mar, 2024
MICHUANO YA ALL AFRICAN GAME 2023 YAANZA KUTIMUA VUMBI NCHINI GHANA.
Mashindano ya Afrika (All African Games 2023) yamezinduliwa rasmi Machi 8, 2024 Jijini Accra, Ghana yakiongozwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Nana Akufo Addo, huku yakishuhudiwa na Wanamichezo kutoka Mata...
09 Mar, 2024
MICHUANO YA ALL AFRICAN GAME 2023 YAANZA KUTIMUA VUMBI NCHINI GHANA.
08 Mar, 2024
TANZANIA YATOKA SARE NA NIGERIA KRIKETI
Mashindano ya Afrika ( All African Games 2023) yameanza kutimua vumbi jijini Accra, Ghana ambapo katika mchezo wa kwanza uliochezwa mapema Machi 7, 2024 Timu ya Taifa ya Tanzania ya Kriketi iligawana...
08 Mar, 2024
TANZANIA YATOKA SARE NA NIGERIA KRIKETI
08 Mar, 2024
KUFUZU OLIMPIKI: CHANGALAWE KUPIMANA UWEZO NA MNORWAY.
Bondia Yusuf Changalawe anatarajiwa kupanda ulingoni jioni ya leo Machi 08, 2024 dhidi ya Mindaugas Gedminas kutoka nchini Norway katika muendelezo wa mashindano ya kwanza ya Dunia ya kufuzu kushiriki...
08 Mar, 2024
KUFUZU OLIMPIKI: CHANGALAWE KUPIMANA UWEZO NA MNORWAY.
08 Mar, 2024
KIKAO CHA KAMATI YA UKAGUZI
Kamati ya Ukaguzi iliyopo chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo Machi 08, 2024 imekaa na menejimenti ya Baraza kupitia utekelezaji na kujiridhisha na hoja za wakaguzi wa ndani na nje Aidha...
08 Mar, 2024
KIKAO CHA KAMATI YA UKAGUZI
07 Mar, 2024
NAIBU WAZIRI MWINJUMA AHUDHURIA MKUTANO WA 'ANT DOPING' GHANA
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ameshiriki mkutano wa kujadili madhara ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli michezoni na njia za kukabiliana na madhara hayo leo Mac...
07 Mar, 2024
NAIBU WAZIRI MWINJUMA AHUDHURIA MKUTANO WA 'ANT DOPING' GHANA
07 Mar, 2024
TEMBO WORRIORS KAMBINI MANYARA
Timu ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu nchini (Tembo Worriors) wako kambini Mkoani Manyara chini ya udhamini wa Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), wakijinoa kuelekea katika mash...
07 Mar, 2024
TEMBO WORRIORS KAMBINI MANYARA