Habari

05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
Kila la Kheri timu ya Simba.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
Kila la kheri timu ya Yanga.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
04 Apr, 2024
NAIBU KATIBU MKUU SERERA APOKELEWA BAADA YA UAPISHO.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dokta Suleiman Hassan Serera amewataka wafanyakazi wa wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu...
04 Apr, 2024
NAIBU KATIBU MKUU SERERA APOKELEWA BAADA YA UAPISHO.
02 Apr, 2024
TUZO ZA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linaendelea na maandalizi kuelekea kwenye siku ya Tuzo kwa Wanamichezo Bora zinazotarajiwa kutolewa mwezi Mei, 2024 Jijini Dar es salaam. #tuzozabmt
02 Apr, 2024
TUZO ZA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)
25 Mar, 2024
SERIKALI YAPONGEZA TIMU ZILIZOSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limezipongeza timu zote za Taifa zilizoshiriki katika mashindano ya Afrika (All African Games) kuanzia tarehe 8 hadi 23 Machi, 2024 jijini Accra nchi...
25 Mar, 2024
SERIKALI YAPONGEZA TIMU ZILIZOSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA
24 Mar, 2024
BMT YATOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI WA TACA
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limewapa maelekezo viongozi wapya wa Chama cha Makocha wa Riadha Tanzania (TACA) kurekebisha katiba yao kwa maendeleo ya michezo nchini. Maelekezo hayo yametolewa l...
24 Mar, 2024
BMT YATOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI WA TACA