UCHAGUZI WA KAMATI YA PARALIMPIKI TANZANIA (TPC)
25 Jan, 2026
Uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania (TPC) unafanyika leo, Januari 25, 2026, katika ukumbi wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Zoezi hilo linawakutanisha wajumbe na wadau mbalimbali wa michezo ya walemavu kutoka maeneo tofauti nchini, kwa lengo la kuchagua uongozi mpya utakaosimamia na kuendeleza shughuli za Paralimpiki Tanzania kwa kipindi kijacho.

