Mkutano wa pili wa Bunge la 13.
27 Jan, 2026
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda (katikati) akiwasili Bungeni jijini Dodoma, leo Januari 27, 2026 kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha kwanza cha Mkutano wa pili wa Bunge la 13.

