RIO FERDINAND ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
21 May, 2026
Gwiji wa Soka wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United Rio Ferdinand Ndani ya Baloon katika Hifadhi ya Serengeti, ameshuhudia maajabu ya uhamaji wa Nyumbu ndani ya hifadhi hiyo
Huu ni muendelezo wa ziara yake akiwa na Mwenyeji wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.

