MHE. MAKONDA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA.
27 Jan, 2026
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akiongoza kikao cha Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo tarehe 27 Januari 2026 katika ukumbi wa Bunge, jijini Dodoma

