Habari

13 Jan, 2026
MAPKEZI YA MHE. MAKONDA
Mapokezi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda alipowasili Wizarani hapo Mtumba jijini Dodoma baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia...
13 Jan, 2026
MAPKEZI YA MHE. MAKONDA
13 Jan, 2026
PICHA ZA MAKABIDHIANO YA OFISI
Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akipokea nyaraka za wizara hiyo kutoka kwa mtangulizi wake  Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi  ambaye sasa ni Waziri wa Nchi...
13 Jan, 2026
PICHA ZA MAKABIDHIANO YA OFISI
11 Jan, 2026
BMT YATOA MSAADA KWA SOCCER ACADEMY (CHANIKA)
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limefanya ziara na kutoa msaada wa mipira mitano kwa Kituo cha Mafunzo ya Mpira wa Miguu cha 'Kibadeni International Soccer Academy' kilichopo Zogoali, Chanika...
11 Jan, 2026
BMT YATOA MSAADA KWA SOCCER ACADEMY (CHANIKA)
10 Jan, 2026
MHE. RAIS AKABIDHIWA JEZI YA TIMU YA TAIFA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea zawadi ya jezi ya Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ‘Taifa Stars’ iliyosainiwa na wachezaji, kutok...
10 Jan, 2026
MHE. RAIS AKABIDHIWA JEZI YA TIMU YA TAIFA.
10 Jan, 2026
HAFLA YA KUIPONGEZA TAIFA STARS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya Tanzania &lsqu...
10 Jan, 2026
HAFLA YA KUIPONGEZA TAIFA STARS
08 Jan, 2026
MAPOKEZI YA TAIFA STARS.
Matukio ya mapokezi ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam leo, Januari 08, 2025, kufuatia kuwasili kutoka nchini Morocco walikoshir...
08 Jan, 2026
MAPOKEZI YA TAIFA STARS.