Habari

28 Jan, 2025
SAMIA WOMEN BOXING CHAMPIONSHIP 2025
Mashindano mapya ya ngumi ya Wanawake ya Samia "SAMIA WOMEN BOXING CHAMPIONSHIP 2025" yanatarajiwa kauanza Ijumaa 31 Januari, 2025 mpaka 2 Februari, 2025 katika fukwe za Kawe Beach Club, Dar...
28 Jan, 2025
SAMIA WOMEN BOXING CHAMPIONSHIP 2025
27 Jan, 2025
KIKAO KAMATI YA MIPANGO NA FEDHA BMT
Kamati ya Mipango na Fedha inayoongozwa na Prof. Madundo Mtambo Makamu Mwenyekiti wa BMT Januari 27, 2025 Dar es salaam imekutana na Menejimenti ya Baraza kupitia utekelezaji wa maelekezo mbalimbali i...
27 Jan, 2025
KIKAO KAMATI YA MIPANGO NA FEDHA BMT
25 Jan, 2025
KING LUCAS MWAJOBAGA ALIHESHIMISHA TAIFA NCHINI TUNISIA KWA USHINDI WA...
Bondia Lucas Mwajobaga amefanikiwa kuibuka na ushindi wa kibabe dhidi ya Liduema Elder kutoka Angola katika mapambano ya kwanza ya semi-pro ya usiku wa Solidarty & Fratenity Boxing Gala (Mshikaman...
25 Jan, 2025
KING LUCAS MWAJOBAGA ALIHESHIMISHA TAIFA NCHINI TUNISIA KWA USHINDI WA...
21 Jan, 2025
KOZI YA USIMAMIZI WA JUU WA MICHEZO
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Leodigar Tenga amewataka wahitimu wa kozi ya usimamizi wa juu wa michezo kutumia elimu hiyo kuendeleza michezo na kuwasihi kutoishia hapo bali wajien...
21 Jan, 2025
KOZI YA USIMAMIZI WA JUU WA MICHEZO
17 Jan, 2025
MAFUNZO YA MICHEZO KWA JAMII
Nelson Kasiti (shati jeupe) mwakilishi wa Katibu Tawala wa Wilaya ya Muheza Januari 17, 2025 alifunga mafunzo kwa walimu wa shule za Msingi na Sekondari wilayani Muheza Mkoani Tanga akiwataka wanufaik...
17 Jan, 2025
MAFUNZO YA MICHEZO KWA JAMII
15 Jan, 2025
MSIGWA: VYAMA VYA MICHEZO VIACHE MIGOGORO
Katibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amevitaka vya vya michezo kuongea lugha moja kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Amesema vyama hivyo kuachana na migogoro na kutumia...
15 Jan, 2025
MSIGWA: VYAMA VYA MICHEZO VIACHE MIGOGORO