TIMU YA TAIFA YA WANAUME YA FUTSAL YA JIANDAA KUFUZU AFCON 2026.
service image
25 Jan, 2026

Timu ya Taifa ya wanaume ya Futsal imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Shule ya Filbert Bayi, Kibaha kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON 2026 dhidi ya Ivory Coast Februari 3 2026, Zanzibar