Habari

28 Aug, 2023
MAFUNZO YA MFUMO WA USAJILI KIDIGITALI
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo (BMT) Bi. Neema Msitha leo Agosti 28, 2023 akitoa ufafanuzi wa umuhimu wa mafunzo ya mfumo wa usajili wa vyama vya michezo kidigitali (Sars) kabla ya mafunzo hayo...
28 Aug, 2023
MAFUNZO YA MFUMO WA USAJILI KIDIGITALI
27 Aug, 2023
SALAMU ZA PONGEZI
Hongera JKT Queens kwa hatua mliofikia, BMT inawatakia mafanikio zaidi ya kufuzu kombe hilo.
27 Aug, 2023
SALAMU ZA PONGEZI
28 Aug, 2023
KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MICHEZO
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu amewasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe tayari kwa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo 2023 Mkoani Nj...
28 Aug, 2023
KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MICHEZO
25 Aug, 2023
TAMASHA NJOMBE
Mbio za pole pole (Jogging), mazoezi vikiambatana na michezo mbalimbali kuashiria kuanza kwa tamasha la utamaduni sambamba na mafunzo ya mfumo wa usajili kidigitali zimefanyika 24/8/2023 mkoani Njombe
25 Aug, 2023
TAMASHA NJOMBE
24 Aug, 2023
KIKAO CHA KUENDELEZA USHIRIKIANO
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. Neema Msitha Agosti 23, 2023 kwa niaba ya Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo amefanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Serikali y...
24 Aug, 2023
KIKAO CHA KUENDELEZA USHIRIKIANO
20 Aug, 2023
KAMPUNI YA BCEG YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA MICHEZO NA KU...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amekagua hatua za ujenzi wa Kituo cha Michezo na Kupumzikia cha Dar es Salaam na kumwagiza mkandarasi wa mradi huo, Kampuni ya Beijing C...
20 Aug, 2023
KAMPUNI YA BCEG YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA MICHEZO NA KU...