MAPOKEZI YA TAIFA STARS.
08 Jan, 2026
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi, wakiipokea Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 08, 2025 baada ya kuandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

