Habari

15 Apr, 2024
KUELEKEA TUZO ZA BMT
Kamati za Michezo Mkoa na Vyama vya michezo, wasilisheni majina ya wanaowania tuzo za BMT 2023
15 Apr, 2024
KUELEKEA TUZO ZA BMT
12 Apr, 2024
KIKAO KUELEKEA KATIKA SIKU MUHIMU KWA MAVETERANI WA SOKA NCHINI.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa kushirikiana na Umoja wa Maveterani Tanzania (UMSOTA) tarehe 12 Aprili, 2024 wamekaa kikao cha maandalizi kuelekea katika siku muhimu kwa wanasoka hao wa zamani, t...
12 Apr, 2024
KIKAO KUELEKEA KATIKA SIKU MUHIMU KWA MAVETERANI WA SOKA NCHINI.
09 Apr, 2024
MIKAKATI YA KUBORESHA MBIO YA KILI MARATHON.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha, leo tarehe 9 Aprili, 2024 amekutana na wandaaji wa mbio ya Kili Marathon kujadili maendeleo ya mbio hiyo, maeneo gani yanayohitaji kub...
09 Apr, 2024
MIKAKATI YA KUBORESHA MBIO YA KILI MARATHON.
08 Apr, 2024
HONGERA SIMBU
Hongera sana Alphonce Felix Simbu kwa kumaliza nafasi ya tatu na kujinyakulia medali ya Shaba katika mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo.
08 Apr, 2024
HONGERA SIMBU
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
Kila la Kheri timu ya Simba.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.
Kila la kheri timu ya Yanga.
05 Apr, 2024
KILA LA KHERI.