Habari

19 Jan, 2026
MHE. MAKONDA AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA KANDANDA BARANI AFRIKA (...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe. Paul Christian Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe Jijini Rabat, Morocco na kukabidhi barua...
19 Jan, 2026
MHE. MAKONDA AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA KANDANDA BARANI AFRIKA (...
18 Jan, 2026
MHE. MAKONDA AWASILI NCHINI MOROCCO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewasili nchini Morocco kwa ziara maalum ya kikazi akiwa na jukumu la kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T...
18 Jan, 2026
MHE. MAKONDA AWASILI NCHINI MOROCCO
17 Jan, 2026
JATA YAPATA VIONGOZI WAPYA
Chama cha Mchezo wa Judo Tanzania (JATA) kimefanya uchaguzi leo, Januari 17, 2026, na kupata viongozi wapya watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka minne. Uchaguzi huo umefanyika katika ukum...
17 Jan, 2026
JATA YAPATA VIONGOZI WAPYA
17 Jan, 2026
BMT yakutana na waandaaji wa Ramadhan Cup 2026
Wataalam wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji Bw. Benson Chacha, Januari 16, 2026 wamekutana na kufanya kikao na waandaaji wa mashindano ya Ramadhan Cup 2026, wakio...
17 Jan, 2026
BMT yakutana na waandaaji wa Ramadhan Cup 2026
16 Jan, 2026
USAILI WA CHAMA CHA MCHEZO WA JUDO TANZANIA
Usaili wa kuwapata viongozi wa Chama cha Mchezo wa Judo Tanzania (JATA) umefanyika leo, Januari 16, 2026, katika ukumbi wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Usaili huo umefanyika ikiw...
16 Jan, 2026
USAILI WA CHAMA CHA MCHEZO WA JUDO TANZANIA
16 Jan, 2026
MHE. MAKONDA KUWASILISHA UJUMBE MAALUM WA TANZANIA CAF
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda anatarajiwa kuwasilisha ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenda kwa Ra...
16 Jan, 2026
MHE. MAKONDA KUWASILISHA UJUMBE MAALUM WA TANZANIA CAF