MAPOKEZI YA TAIFA STARS.
08 Jan, 2026
Wapenzi wa soka na mashabiki wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) waliofika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dara es Salaam, leo Januari 08, 2025 kuipokea timu hiyo inayorejea nchini kutokea Morocco kwenye michuano ya AFCON 2025 ambapo ilifanikiwa kufika hatua ya 16 bora.

