TAIFA STARS KUWASILI SAA 4 ASUBUHI.
service image
08 Jan, 2026

Timu ya Taifa  Taifa stars wakiwa uwanja wa Ndege Rabat, Morocco kwa safari ya kurudi nyumbani baada ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora fainali za TotalEnergies AFCON 2025, kikosi hicho kitatua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kesho saa 4 asubuhi