TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U20 YAJIANDAA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
26 Jan, 2026
Timu ya Taifa ya Wanawake U20 (Tanzanite Queens), imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, Kigamboni kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Kenya utakaochezwa Februari 7, 2026 Nairobi, Kenya

