MH. RAIS AKIMUAPISHA MHE. PAUL MAKONDA
13 Jan, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Paul Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, katika hafla ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, tarehe 13 Januari, 2026.

