STARS YAJIANDAA DHIDI YA MOROCCO
service image
03 Jan, 2026

Wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa stars) wakiendelea na maandalizi ya mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Morocco utakaochezwa kesho fainali za TotalEnergies AFCON 2025