ELIMU
service image
09 May, 2025

Watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo Mei 09, 2025 wamenufaika kwa kuongeza uelewa kuhusu Rushwa na Maadili iliyotolewa na Afisa kutoka Taasisi ya kupambana na Rushwa sambamba na kupata elimu ya homa ya ini pamoja na kupata chanjo ya kujikinga na homa hiyo kutoka kwa matabibu wa hospitali ya JKT Kilwa Road, wote wametoka Wilaya ya Temeke.