MAANDALIZI KUELEKEA AFCON 2025
service image
09 Dec, 2025

Timu ya Taifa @taifastars_ imefanya mazoezi leo kwenye uwanja wa Hoteli ya Jewel, Misri, ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea Fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika nchini Morocco.


Wachezaji wako kwenye hali nzuri, wakijifua kwa nguvu na kuimarisha mbinu za kiufundi na kimbinu kuelekea michuano hiyo mikubwa barani Afrika.