KIKAO KAMATI YA MIPANGO NA FEDHA BMT

27 Jan, 2025
Kamati ya Mipango na Fedha inayoongozwa na Prof. Madundo Mtambo Makamu Mwenyekiti wa BMT Januari 27, 2025 Dar es salaam imekutana na Menejimenti ya Baraza kupitia utekelezaji wa maelekezo mbalimbali ili kufikia malengo ya taasisi hiyo.