LIGI YA TAIFA WAVU

22 Sep, 2022
Mashindano ya ligi ya taifa hatua ya pili mpira wa wavu wanawake yakiendelea uwanja wa wa ndani wa taifa ambayo yalianza tarehe 20 na yatahitimishwa Septemba 24 jijini Dar es salaam.