LIGI YA TAIFA WAVU
                            
                                
                                     21 Sep, 2022
                                
                            
                            Mtanange wa ligi ya taifa mchezo wa wavu wanawake leo Septemba 22, 2022
UDSM wameambulia patupu dhidi ya kiut wenye seti 3 huku timu ya Jeshi Stars ikiibuka mshindi kwa seti 3 dhidi NHIF ambao hawakuambulia kitu.
Wengine ni Star girls wenye seti 3 dhidi ya Golden wings seti 2, huku Magereza wakiibuka na seti 3 dhidi ya mafinga parish ambao hawakupata kitu.
Kwa upande wa wanaume
Tanesco wamewabamiza kwa seti 3 Serengeti nao wakiambulia seti 1.

