ZIARA YA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO KATIKA UWANJA MKAPA
service image
03 Feb, 2024

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo amepokea Ujumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo iliyofanya ziara ya kukagua ukarabati mkubwa unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.