Dira & Dhima

Dira

Kuiongoza Tanzania kuelekea kilele cha Mafanikio ya Michezo na kuifanya sekta ya michezo kuchangia katika maendelea, umoja na fahari ya Taifa

 

Dhima

Kuchukua jukumu la kuhahakikisha kuwa kunatolewa huduma bora, ubunifu na mfumo mzuri wa michezo kwa lengo la kuimarisha ushiriki na kuboresha uongozi na maendeleo ya michezo nchini