UCHAGUZI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO TANZANIA (TASWA) KUFANYIKA TAR. 28 JANUARI, 2023

04 Jan, 2023 Pakua
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linapenda kuwatangazia wanahcama na wadau Chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) kuwa uchaguzi wa viongoz wa Chama hicho unatarajiwa kufanyika Tarehe 28 Januari, 2023 katika Kumbi za Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar-es-salaam.