UZINDUZI WA MFUMO WA KIDIGITALI WA KUSAJILI VYAMA VYA MICHEZO (SARS) TAREHE 20 Julai 2023
21 Jul, 2023

Mh. Balozi Dkt.  Pindi Chana azindua mfumo wa kidigitali wa kusajili vyama vya michezo (SARS) tukio lililofanyika katika ukumbi wa Mikumi (JNICC) Jijini Dar es salaam.