DKT. ABASSI AKUNWA NA MATOKEO YA U 17 DHIDI BOTSWANA
service image
22 Mar, 2022

*Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas aipongeza timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 kwa kuichapa, kuichabanga, kuibamiza na kuichakaza timu ya Taifa ya Botswana kwa jumla ya magoli 11 kwa mechi ya nyumbani na ugenini*