EA PAMOJA BID AFCON 2027
service image
27 Sep, 2023

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa (BMT) Leodigar Tenga na Viongozi wengine wa Mpira wa Miguu Afrika Mashariki wakiwa tayari kwa ajili ya Uchaguzi wa Uwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika ( AFCON 2027) unaofanyika leo Septemba 27, 2023 Jijini Cairo Misri.

EA Pamoja Bid 2027 inashirikisha nchi tatu Tanzania, Kenya na Uganda.