KOMBE LA DUNIA LATUA TANZANIA

31 May, 2022
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania apokea Kombe la Dunia la FIFA Ikulu Jijini Dar es Salaam.