MASHINDANO YA RIADHA KUNDI MAALUM

13 Mar, 2022
Maandalizi ya Mashindano ya Riadha kwa watu wenye ulemavu yaliyoandaliwa na kamati ya Paralimpiki Tanzania (TPC) yakiendelea uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.