MAZOEZI YA PAMOJA.
service image
04 May, 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo Mei 4, 2024 Jijini Dar es Salaam amezindua rasmi programu ya mazoezi kwa rika zote yenye lengo kuimarisha afya kwa Watanzania ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza.