UWANJA WA MKAPA WAWEKEWA FREE WIFI

06 Oct, 2023
Serikali imesikia kilio cha wadau na mashabiki wa michezo katika Uwanja wa Benjamin kuhusu Mtandao wa 'Internet', mtandao huo ni moja ya vipaumbele vinavyotarajiwa kukamilika na kutumika Oktoba 20, 2023 katika mechi ya ufunguzi "African Football League" (AFL).