MSITHA ATHIBITISHWA RASMI
service image
29 Mar, 2022

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa leo tarehe 29 Machi, 2022 amemthibitisha Neema Msitha kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya kukaimu nafasi kwa muda na kuonyesha uwezo mkubwa katika utendaji kazi wake.