PICHA ZA MAKABIDHIANO YA OFISI
13 Jan, 2026
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akipokea nyaraka za wizara hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ambaye sasa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) mara baada ya kuapishwa kuongoza wizara hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Makabidhiano hayo yamefanyika Januari 13, 2026 katika Ofisi za wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma.

