RAIS SAMIA APOKEA KOMBE LA DUNIA LA FIFA

31 May, 2022
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania apokea Kombe la Dunia la FIFA Ikulu Jijini Dar es Salaam.