SHUKURU NGOTA KINARA MASHINDANO YA RIADHA WATU WENYE ULEMAVU

10 Mar, 2022
Mwanariadha Shukuru Ngota ameibuka mshindi katika mbio za 1500M za mashindano ya Riadha Taifa kwa watu wenye ulemavu yaliyofanyika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Nafasi ya mshindi wa pili (2) ilichukuliwa na mwanariadha Naaman Juma ya Tatu (3) ikichukuliwa na Nasri Juma.