TEMBO WARRIORS YAANZA VIZURI

01 Oct, 2022
Timu ya taifa ya mpira wa Miguu kwa watu wenye Ulemavu (Tembo Warriors) imeanza vizuri katika Kombe la Dunia kwa kutoka suluhu ya bila kufungana na Timu ya Taifa ya Hispania baada katika mechi ya kwanza iliyochezwa leo Oktoba 1, 2022 Istanbul, Uturuki.