UFUNGUZI RASMI WA SHIMIWI

04 Oct, 2023
Brass Band ya JKT Mafinga ikiongoza timu mbalimbali za michezo katika maandamano ya ufunguzi rasmi wa SHIMIWI tarehe 4 Oktoba, 2023 katika uwanja wa CCM Samora Mkoani Iringa.