TIMU YA MCHEZO WA NETIBOLI YA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YAENDELEZA USHINDI
service image
06 Oct, 2022

Timu ya mchezo wa Netiboli ya wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, imeendeleza ushindi katika mashindano ya SHIMIWI, baada ya kuifunga timu ya wizara ya mambo ya Nje kwa magoli 23 - 4,mchezo uliochezwa leo Oktoba 6, 2022 katika uwanja wa Bandari jijini Tanga.