TUZO ZA BMT 2023.
service image
09 Jun, 2024

Mgeni Rasmi wa usiku wa Tuzo za BMT 2023 Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo jioni ya Juni 09, 2024 akiingia katika ukumbi wa 'The Super Dome' Masaki Jijini Dar es salaam.