TUZO ZA BMT 2023

09 Jun, 2024
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa akikabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi wa Michezo wa Azam Media Christina Koroso ya kutambua mchango wa Azam Media katika maendeleo ya michezo, iliyotolewa wakati wa usiku wa Tuzo za BMT za mwaka 2023 zilitolewa Juni 09, 2024 katika ukumbi wa 'The Super Dome' Jijini Dar es salaam.