VIONGOZI WA MCHEZO WA RUGBY NCHINI WAMETAKIWA KUONYESHA USHIRIKIANO KWA WAFADHILI
service image
02 Oct, 2022

Viongozi wa mchezo wa Rugby nchini wametakiwa kuonyesha ushirikiano kwa wafadhili ili waendelea kufadhili na kuwezesha mchezo huu kuenea sehemu kubwa nchini.

Rai hiyo imetolewa Oktoba Mosi, 2022 na Afisa Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Charles Maguzo wakati akifungua mashindano hayo yalifanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.