ZIARA SHULE YA MICHEZO ORKEESWA
service image
06 Mar, 2025

BMT kupitia kwa Katibu Mtendaji Bi. Neema Msitha leo Machi 06, 2025 limekabidhi mipira ya ikiwemo ya soka pamoja na kikapu kwa wachezaji wa Shule ya kuibua na kuendeleza vipaji vya michezo ya Msingi na Sekondari ya Orkeeswa iliyopo wilayani Monduli Mkoani Arusha ikiwa ni mojawapo ya shughuli za Tamasha la Tanzanite 2025.