MKUTANO WA WANAWAKE KATIKA MICHEZO.

07 May, 2024
Habari njema! Jiunge nasi kwenye mkutano wa Wanawake katika Michezo utakaofanyika Zanziba kuanzia tarehe 12 Juni hadi tarehe 15 Juni. Tunajenga uwezo wa wanawake katika michezo na kukuza uwazi.#WanawakeKatikaMichezo.